sehemu kama ile kuna shule kando kituo kikubwa temboni na st. anne na bado hamna alama wala tuta,ni aibu kwa viongozi wa mtaa kutokutambua matatizo ya eneo lake tena tatizo critical kias kile
Huyu jamaa wakupuuza tu,hakuna ajali wala nini.
Hii si mara ya kwanza kwake kuzusha tukio la ajali anachofanya nikuwa-enjoy tu Sana sana atawaletea picha za nyuzi za 2012.
Huyu jamaa wakupuuza tu,hakuna ajali wala nini.
Hii si mara ya kwanza kwake kuzusha tukio la ajali anachofanya nikuwa-enjoy tu Sana sana atawaletea picha za nyuzi za 2012.
Watu wa aina yake wanatakiwa total ban na kupuuzawa kabisa kama usemavyo maana yawezekana wana dosari vichwani bora mara kumi kutochangia chochote kwenye thread zao kwakuwa hawatofautiani na mateja
acha UCHOYO,WEKA PICHA HAPA,AMBAE HATAKI KUANGALIA ANAACHA,NI SAWA NAKUSEMA ETI Zima compyuta kuna utandawazi.kuangalia ni hiari ya mtu,kutoziweka una wanyima haki tunaopenda tuzione..
CCM inamaliza hili taifa sio kwa ajali za barabarani bali kwa ufisadi. Ajali zinaepukika kama wahusika wako makini kwanza kwenye kujifunza udereva na pili kujua jinsi ya kujihami uwapo barabarani kwani kwenye mafunzo somo la kujihami halipo.