Mimi huwa jasiri,lkn leo nimeshindwa kutazama...Contena limeanguka,kuna mtu kabanwa ubavuni,kawa kama chapati...ni hataree...kwanini haya malori yasipatiwe njia zao??
Naweka inakataa.naendelea kujaribu.watu wamekuwa wengi sana sana ktk tukio..mie nimepita ila I think kuna vifo maana kichwa cha hilo gari kimepondeka balaa