Ni vizuri ukaeleza mazingira ya hiyo ajali kwani Ubungo maji magari hayapishani uso kwa uso kuna ukuta sasa magari ya upande mmoja yamefanyaje? Yamepigana pasi au kuna gari ilikuwa inaingia Ubungo Maji ndio ikagongana na nyingine. Leta habari kamili.

Eneo hilo ni maarufu kwa pasi za nyuma hata hivyo shuhuda wa tukio ungetulia kidogo na kutoa ufafanuzi yakinifu juu ya tukio uliloshuhudia, ukizingatia ni msongamano wa watu wengi na magari basi ungepasha habari vizuri. Naamini haupo mbali
Mijitu ya Jf hainaga shukran we umepewa taarifa na mtoa taarifa kakupa sababu kwa nini kashindwa kutoa taarifa kamili na picha mshaambiwa ubungo maji kama mnataka udhibitisho nendeni sio mnaleta ungese hapa
Jamani reporter Wetu nahisi kakurupuka maana bado sijaelewa huo ubaya wa ajali ukizingatia magari eneo hilo hayakimbii sana tafadhali mwenye report kamili atuletee