Ajali kwenye taa za changombe.

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
538
Ajali imetokea asubuhi hii kwenye makutanao ya barabara ya changombe na mandela.Iinasemekana hizo mpya taa Inasemekana taa hizo mpya ziliwaka kwa siku mbili.(Michuzi blog)



 
hapo machinjioni ni kawaida. Taa nazo ziligongwa na basi.
 
hizi taa, kuanzia za uhasibu, chang'ombe na buguruni zimewekwa mapambo....mbaya zaidi malori ndo njia yake kuu.......

Sijui wahusika wana mpango gani, labda wako kwenye mkakati wa kupunguza idadi ya watu.....
 
Ohhhhhhhhhhhiiiiiiiiii! hao walokua kwenye gari ndogo wamepona yaraabi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…