Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 Feb 3, 2010 #1 Wana JF na Watanzania wote nawapeni pole sana kwa kilio hiki tena. Na wenye taarifa kamili kuhusu ajali hiyo iliyowaua watu zaidi ya 20 papo hapo huko Tanga watupashe kwa undani.
Wana JF na Watanzania wote nawapeni pole sana kwa kilio hiki tena. Na wenye taarifa kamili kuhusu ajali hiyo iliyowaua watu zaidi ya 20 papo hapo huko Tanga watupashe kwa undani.