Lori lilibeba wabunge. Siku hizi ng'ombe wanaitwa Wabunge! misemo mingine kazi kweli kweli. wafiwa poleni sana Mungu alaze roho za marehemu peponi. AMEN
Hili eneo ni Hatari sana!! Ikumbukwe sio siku Nyingi ilitokea ajali Nyingine Mbaya na Kusababisha Watu Kuangukiwa Na Kontainer na watu Kupoteza Maisha!! Ila katika Hali ya Haraka Naona Vyanzo vya ajali Hizi Vinalingana!! Unajua watu Huwa Hawaangalii Chanzo Cha ajali too the Dots!! Polisi wanakimbilia Kusema Ni mwendo Kasi Period!!! Huku ni Kuchoka Kufikiri kwa akina Mpinga na Watu Wake Wote!!! Kama ninavyojua eneo Hili Kuna U Turn ambayo sio Rasmi kwani mwanzoni Kulikuwepo na Kibao cha kuzuia u turn ila kwa bahati mbaya kibao chenyewe kilishachukuliwa na Maajent wa Vyuma Chakavu!!
Eneo lile la kutokea oryx kufanya u turn kwenye barabara kubwa ni Hatari sana!! Sikuwepo kuconnect dots kwenye hii ajali ila najua inaweza ikawa chanzo cha hii ajali ya jana ni dereva ambaye alikuwa anataka kufanya U turn na kusababisha Hali ambayo imesababisha Vifo!! TANROADS AMKENI NA KUZUIA HIZI AJALI!! RUDISHENI VIBAO VINAVYO IBIWA NA KUWEKA ALTERATIONS MAENEO AMBAYO YANAONEKANA KUNA MAPUNGUFU YA USANIFU KIPINDI CHA UJENZI!! TANROADS MBONA HAMNA HURUMA? AJALI INATOKEA INABIDI MSHIRIKI KUANGALIA CHANZO CHA AJALI NA KUANGALIA KAMA NI TATIZO LA KIUFUNDI/KIUJENZI!!
SASA MNALIPWA MISHAHARA MIKUBWA SO WHAT??? Eh Mungu Tusaidie Watu tunawalipa kutokana na kodi Zetu wajue umuhimu wa Kutusaidia!!
kulikuwa na ng'ombe 10. Ng'ombe wawili walikufa pale pale na wengine walishikwa na kiwewe na kukimbia hovyo. Wanamji waliwashughulikia ipasavyo. Baadaye hata maiti za wale ng'ombe 2 hazikujulikana zimeenda zikiwa wapi