mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Du! saa hii, Mwananchi gazeti au mpitanjia?Ni kweli imetokea. Source: Mwananchi
Du! saa hii, Mwananchi gazeti au mpitanjia?
Ni kweli imetokea, my wife alikuwa anaenda ubungo na akaikuta, ametoka kunisimulia hivi punde.Ooh ajali zinakua issue hasa mwishoni mwa mwaka hakika madereva tuwe makini tutamalizana hivi hivi
Kweli leo siku ya shetani, mimi nasafiri toka Iringa tangu saa2 na nusu asubuhi, mpaka mda huu tuko hapa kimara suka kuna foleni ya hatari. Pamoja na hayo kulikuwa na ajari Chalinze ambapo malori mawili yaligongana na kusababisha msongamano tulikaa hapo kwa zaidi ya saa moja, kitonga pia tumekuta malori mawili yakiwa yamegongana na moja likiwa linaning'inia kutaka kuangukia katika cliff. Jamani tuombeni mwezi Dec mgumu sana Tanzania hasa kwa matukio ya ajali.Source clouds fm
Lori lililobeba ng'ombe likitokea morogoro kuelekea dsm limegongana na basi la abiria na kusababisha vifo vya watu. 10. Hapo hapo....tupeni updates mliopo eneo la tukio
Source clouds fm
Lori lililobeba ng'ombe likitokea morogoro kuelekea dsm limegongana na basi la abiria na kusababisha vifo vya watu. 10. Hapo hapo....tupeni updates mliopo eneo la tukio