E ESAM JF-Expert Member Mar 15, 2011 1,164 548 Jun 13, 2014 #1 Wakuu nimepita hapa Buguruni kuelekea Ubungo karibu na daraja la Matumbi kuna ajali bodaboda na gari walikuwa wakielekea Bugurni inaonekani bodaboda na dereva wake wameshika moto. Mungu amwepushe na mauti Dereva wa bodaboda jamani.
Wakuu nimepita hapa Buguruni kuelekea Ubungo karibu na daraja la Matumbi kuna ajali bodaboda na gari walikuwa wakielekea Bugurni inaonekani bodaboda na dereva wake wameshika moto. Mungu amwepushe na mauti Dereva wa bodaboda jamani.
Ablessed JF-Expert Member Mar 19, 2013 4,616 3,499 Jun 14, 2014 #6 Kibao said: Boda boda zitatumaliza Click to expand... Ndugu yangu na hizi foleni zilizokosa solution usafiri reliable ni bodaboda sijui hali hii mpaka lini jamani. Poleni wahanga
Kibao said: Boda boda zitatumaliza Click to expand... Ndugu yangu na hizi foleni zilizokosa solution usafiri reliable ni bodaboda sijui hali hii mpaka lini jamani. Poleni wahanga
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Jun 14, 2014 #7 Ablessed said: Ndugu yangu na hizi foleni zilizokosa solution usafiri reliable ni bodaboda sijui hali hii mpaka lini jamani. Poleni wahanga Click to expand... Mtoto wa masikini hachagui malezi.
Ablessed said: Ndugu yangu na hizi foleni zilizokosa solution usafiri reliable ni bodaboda sijui hali hii mpaka lini jamani. Poleni wahanga Click to expand... Mtoto wa masikini hachagui malezi.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,149 Jun 14, 2014 #8 Hatari sana, boda boda zinatumaliza