figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,707
- 59,228
AJALI TABORA: Watu 8 wafa, 14 wajeruhiwa leo baada ya basi la Allys toka Kaliua-Mwanza kupinduka huko Urambo, Kamanda wa Polisi Tabora, Hamis Issa athibitisha.
AJALI TABORA: Watu 8 wafa, 14 wajeruhiwa leo baada ya basi la Allys toka Kaliua-Mwanza kupinduka huko Urambo, Kamanda wa Polisi Tabora, Hamis Issa athibitisha.
Ha ha ha ha haaaa, umenikumbusha Enzi hizo tulikua tunaita Ndege ya Chini, kulikua na dereva mmoja alikua anaitwa Hunter, mwengine Masha sikumbuki Nija vizuri na Mzee Paulo... Hawa Jamaa walikua ni hatari, Gari inatembezwa mpaka Unaihurumia. Mkitangulia hakuna anaefuata.. Afu walikua punction kichizi... Binafsi Nina ticket sales Ally's Sports Bus Sita...napenda sana Rally.Nakumbuka Mwaka 2009 Nikitoka Nalo Dar Kwenda Chuoni Mwanza Karibia Na Dodoma TULIFYEKA NG'OMBE Wawili " Live " Gari Letu Likapepesuka Kiasi Na Safari Ikawa Mwendo MDUNDO Lakini Sikulikoma Wakati Narudi Likizo Dar Mwaka Huo Huo Maeneo Ya Manyoni TULIMRESTISHA MTU " Live " Akiwa Katoka Pembeni Kukata NYASI Zake Akazipakia Ktk Baiskeli Yake Akawa Anavuka Sasa Sijui Aliliona Bali Letu La Allys Lipo Mbali Jamaa Akaiingiza Baiskeli Rodini Hamadi Kitu Hii Hapa Tulisikia Tu Mshindo Mkubwa Basi Likaserereka Na Kukaa Sawa Na Baadhi Yetu Kushuka Kwenda Kuwahi Kutoa Msaada Lakini Tukaikuta NJEMBA Tayari Keshafariki Huku Shingo Ikiwa IMEKATIKA Na Inavuja Damu. Baada Ya Hapo Ndiyo Ikawa Mwanzo Na Mwisho Wa Kulipanda Hilo Basi. Na Ndiyo Basi Pekee Ambalo Dereva Yoyote Ukitaka Kuwa Dereva Wake Swali La Kwanza Kutoka Kwa MMILIKI Wake Ni Kuwa Je Tokea Uanze Kuendesha Mabasi Ya Abiria Umeshasababisha AJALI Ngapi Na Umeua Wangapi Na Ukisema Kuwa Hujawahi Kusababisha AJALI au Kuua Watu Unakosa Kazi. Wewe Basi Gani Mnatoka Dar Saa 12 Asubuhi Na Mnaingia Mwanza Stendi Ya NYEGEZI Saa 12 au Saa 1 Jioni Wakati Wenzenu Wote Akina Mohamed Trans Na Mombasa Raha Wakiwahi Sana Basi Ni Saa 5 au Saa 6 Usiku? Pole Sana Kwa WAFIWA Ila Basi La Allys Ni Mortuary Inayotembea.
Ha ha ha ha haaaa, umenikumbusha Enzi hizo tulikua tunaita Ndege ya Chini, kulikua na dereva mmoja alikua anaitwa Hunter, mwengine Masha sikumbuki Nija vizuri na Mzee Paulo... Hawa Jamaa walikua ni hatari, Gari inatembezwa mpaka Unaihurumia. Mkitangulia hakuna anaefuata.. Afu walikua punction kichizi... Binafsi Nina ticket sales Ally's Sports Bus Sita...napenda sana Rally.
Anaendesha chuma gani mkuu???kuna dereva mwingine anaitwa Issa kinyau
Anaendesha chuma gani mkuu???
Ok... Hawa Jamaa walikua vizuri sana, halafu kulikuaga na Mzee Hamis, Huyu alikuaga basi moja linaitwa GAMBAS sijui Kama sikuhizi lipogo tena. Walikuaga na ligi Kali sana na Ally Tanzania leader... By the way Nani kaishika hiyo route sikuhizi?kwa miaka ya 2009 alikuwa allys ya mwanza nikaja muona tena 2013'kwenye HBS ya Tabora kwa sasa sijui mkuu
Ok... Hawa Jamaa walikua vizuri sana, halafu kulikuaga na Mzee Hamis, Huyu alikuaga basi moja linaitwa GAMBAS sijui Kama sikuhizi lipogo tena. Walikuaga na ligi Kali sana na Ally Tanzania leader... By the way Nani kaishika hiyo route sikuhizi?
Duh, Mv Mapinduzi ndo bus linaitwa hivyo??? Bila Shaka mmilikiwayo ni mtu kutoka visiwa vya karafuu.Mv MAPINDUZI Ndiyo Kashikilia Hiyo Route Kwa Sasa Mkuu.