Hii nchi bwana haiishiwi vituko yani nikama kila secta pana watu wasiokua na weledi na fani wanazozitumikia yani pamoja nakua tunapokua shuleni na vyuoni tunakumbana na misemo nahau vitendawili methali na kadharika lakini havitusaidii lolote, kwamfano unaweza kushangazwa na Jeshi la Polisi kuwalaumu au kutishia kuwachukulia hatua kali Madreva wa magari endapo watasababisha ajali au watagundulika kutumia matumizi ya Barabara kwa kuvunja shelia, ila wanasahau kua zaidi ya 80% ya madreva wa Tz hawajui sio tu kuendesha gali vizuli ila pia shelia za Barabarani, Na kwa kiasi kikubwa inachangiwa na haohao Polisi ambao hugawa Leseni za Udreva bila kuzingatia sheria, mtu anatoa hela unamuidhinisha akakate leseni wakati unajua hana mafunzo ya Udreva akipata ajali unamchukuliaje hatua?