Aisee hii n hatari..kidgo yatukute jana maeneo ya gold star..tren inakuja watu tumeshonana kwenye foleni tunasubiri taa ziruhusu..kusikia pooooo wacha tuchachawe nampigia honi wa mbele yangu asogee mbele akawa sijuI kalala nikasema potelea mbali kuliko kufa bora nisogee pembeni ht nikigonga nitamlipa..nikamkwaruza mimi huyo pembeni chezea uhai...