N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,598 Reaction score 24,488 Jan 28, 2021 #61 Kaka madenge said: Japo jamaa anachomaga Ila mngejua ndo kipa mwenye cleenshit nyingi huko CHAN .. Anazo 8 mkiona hivyo mjue beki yetu ni mbovu mnooo Click to expand... Hivi wewe unavuta bangi? Mechi tatu cleanshit zimefikaje nane? Au unamaanisha saves?
Kaka madenge said: Japo jamaa anachomaga Ila mngejua ndo kipa mwenye cleenshit nyingi huko CHAN .. Anazo 8 mkiona hivyo mjue beki yetu ni mbovu mnooo Click to expand... Hivi wewe unavuta bangi? Mechi tatu cleanshit zimefikaje nane? Au unamaanisha saves?
Masterplaner Senior Member Joined Jul 30, 2020 Posts 145 Reaction score 275 Jan 29, 2021 Thread starter #62 Mpaka wakati huu Manula ndo Mlinda mlango Bora wa mashindano ya chan pamoja na udhaifu wake kwenye baadhi ya mambo
Mpaka wakati huu Manula ndo Mlinda mlango Bora wa mashindano ya chan pamoja na udhaifu wake kwenye baadhi ya mambo
Masterplaner Senior Member Joined Jul 30, 2020 Posts 145 Reaction score 275 Feb 13, 2021 Thread starter #63 Manula ameonyesha uwezo mkubwa sana congo
Lukonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,674 Reaction score 2,470 Feb 13, 2021 #64 Masterplaner said: Manula ameonyesha uwezo mkubwa sana congo Click to expand... Nadhani kulikuwa na issue pia kwenye trainning, maana naona uchangamfu wa kimichezo na mind set tofauti kwa sasa. Angle ngumu nazo anajitahidi ku-clear. Ingawa inategemea pia majanga toka kwa beki yasipokuwa mengi.
Masterplaner said: Manula ameonyesha uwezo mkubwa sana congo Click to expand... Nadhani kulikuwa na issue pia kwenye trainning, maana naona uchangamfu wa kimichezo na mind set tofauti kwa sasa. Angle ngumu nazo anajitahidi ku-clear. Ingawa inategemea pia majanga toka kwa beki yasipokuwa mengi.