nyie yanga hamnazo kabisa mlitaka manula afanyaje ili mlizike. anajitahidi kuziba mianya ya beki wenu famba yule hajui hata kuzuia mashambulizi. anatabia ya kurudisha mipira nyuma halafu inamshinda na manula ndo mwokozi wake then mnaleta maneno mmengi
Umekili mwenyewe kuwa ni kweli Manula Ana madhaifu ya kutoka golini na kucheza krosi na Kona udhaifu huo ndio tunatakaJamani wakati mwingine tuwe wakweli Manula amefanya kazi kubwa sana hasa kwenye mechi ya Namibia. Ni kweli Manula ana madhaifu ya kutoka bila mpangilio na udhaifu wa kucheza krosi na kona. Lakini kwenye mechi dhidi ya Namibia alifanya hayo makosa mara moja au mbili tu. Na Manula ndiye aliyeinua morali ya timu nzima kwa kufanya "saves" za maana. Huu Usimba na Uyanga usitufanye tuwe vipofu hata kwenye mambo yaliyo wazi. Na hongera sana kwa benchi la ufundi kwa kuanza na Farid badala ya Mhilu hapo ndio chachu ya ushindi ilipoanzia.
Jamani wakati mwingine tuwe wakweli Manula amefanya kazi kubwa sana hasa kwenye mechi ya Namibia. Ni kweli Manula ana madhaifu ya kutoka bila mpangilio na udhaifu wa kucheza krosi na kona. Lakini kwenye mechi dhidi ya Namibia alifanya hayo makosa mara moja au mbili tu. Na Manula ndiye aliyeinua morali ya timu nzima kwa kufanya "saves" za maana. Huu Usimba na Uyanga usitufanye tuwe vipofu hata kwenye mambo yaliyo wazi. Na hongera sana kwa benchi la ufundi kwa kuanza na Farid badala ya Mhilu hapo ndio chachu ya ushindi ilipoanzia.
Ayafanyie kazi mapungufu yake ndo tunachotaka afanyeJapo jamaa anachomaga
Ila mngejua ndo kipa mwenye cleenshit nyingi huko CHAN ..
Anazo 8 mkiona hivyo mjue beki yetu ni mbovu mnooo
Kwahiyo unadhani hafanyi mazoezi?Ayafanyie kazi mapungufu yake ndo tunachotaka afanye
Naona unaongozwa na chuki au kutokujua.Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza na Namibia.
Kosa hili amefanya zaidi ya mara tatu ni vile tumecheza na timu dhaifu vinginevyo tungefungwa kupitia uzembe huo japo ameokoa michomo mingi ya hatari. Hili litazamwe vizuri.
Unamuamini nani?Mimi Manula huwa simuamini. Hachelewi kuunguza nyumba
Chuki Chuki ChukiManula si kipa wa maana, anaicost sana Simba na Stars.....get rid of him asap!
Chuki inaua.Huyo ni shati tu, Metacha aliachwaje?
Katika kikosi cha Tanzania, hadi sasa mchezaji mwenye rating kubwa huko CHAN ni Aishi Manula. Tafuteni hoja nyingine... Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza na Namibia.
Kwani uzi unahusu Manula au wachezaji wote wa Simba? Naona chuki imetamalaki haswaa! Kama ishu ni Simba, basi watawakera sana, maana yupo mshangiliaji Morrison special kwa ajili ya kukera tuHuko Nyoni tunaambiwa karudi nyumbani
Unamuamini nani?
Chuki Chuki Chuki
Umefafanua vizuri sana na ndio lengo la huu uziKwa hili kosa anahitajika afanyiwe programm maalum.
Nakumbuka Ivo mapunda alikuwa na kosa la kupunch mpira kuelekea kwa mshambuliaji, huu udhaifu uliigharimu timu yake mara kadhaa.
Nafikiri haya makosa yanaweza kurekebishika.
We jipige vidole tu kwa hasiraChuki Chuki Chuki
KoronaMpira, bongo umejaza cjui tuseme siasa ama nnView attachment 1685749