Aishi Manula kwanini lakini?

Beki naxo zinazingua halafu mpira wa sasa beki ndio zinaanzisha mashambulizi lakini mwamnyeto na beki mwenzake protus wao wakipata mpira ni kubutua mbele utafikiri wanacheza mpira wa ndondo cup. Mbele nako wakipata mpira wanafikiria kufunga badala ya kuangalia wenzao wamekaaje sijui ndio wanavyofundishwa au wakiingia wanacheza wanavyojua
 
Nimegundua wabongo tunauelewa mdogo sana wa mpira, na zaidi tunaenda na chuki za Uyanga na usimba. Uwezi kua ndani ya uwanja ukawa perfect 100% kwenye kila action. Kazi aliyoifanya Airmanula Jana sikutegemea mtu kuja na lawama za namna hii. Usiangalie mpira kwa kuangalia Adui yako uwanjani kakosea nini, angalia na mazuri yake pia
 
....well said
 
Mpira, bongo umejaza cjui tuseme siasa ama nn
 
nyie yanga hamnazo kabisa mlitaka manula afanyaje ili mlizike. anajitahidi kuziba mianya ya beki wenu famba yule hajui hata kuzuia mashambulizi. anatabia ya kurudisha mipira nyuma halafu inamshinda na manula ndo mwokozi wake then mnaleta maneno mengiii!!!
 
Kwani wewe Ni MKE wa manula?.
Mbona wivu hivi?
Unamchukia sana Manula. Alikukosea kitu gani ambacho huwezi msamehe? Ungekuwa mwanaume ngesema sisi wanaume huwa hatuwi na roho za hivi. Sema nyie wanawake....daah....mnaweka moyoni sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…