Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 139
- 265
Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika Hili nimeliona sana stars ilipo cheza na Namibia kosa Hili amefanya zaidi ya maratatu ni vile tume cheza na timu dhaifu vinginevyo tungefungwa kupitia uzembe huo japo ameokoa michomo mingi ya hatari Hili litazamwe vizuri
Si ndio anakulaga mikono ya kutosha?Kajitajidi Ila anamakosa kadhaa,ukicheza na wakubwa unakula mkono
Kross mpira unadondoka chini, ni hatari kwa mechi zao za champions league AfricaSi ndio anakulaga mikono ya kutosha?
Beki mda mwingine wanasababisha kipa atoke kuwahi mpira, na pale asingetoka jamaa angeshoot toka mbali na kufunga.
Amejitahidi Sana manula.
Yaani ukiitazama Taifa Stars inavyocheza hapo ndipo unapoona sifa za kijinga tunazowapa wachezaji kwenye ligi yetu kuwa ni za uongo kabisa. Wachezaji hawana Skills kabsa mpira kama ndondo, pasi hazina macho, butua butua nyingi iiiii!Tatizo lingine tunapiga mipira mirefu sana isiyozaaa matunda
Moira wa Tz ni Dino mno...Yani ukiitazama Taifa Stars inavyocheza hapo ndipo unapoona sifa za kijinga tunazowapa wachezaji kwenye ligi yetu kuwa ni za uongo kabsa. Wacheza hawana Skills kabsa mpira kama ndondo,pasi hazina macho, butua butua nyingi iiiii!
Ndo zake.Kajitajidi Ila ana makosa kadhaa, ukicheza na wakubwa unakula mkono
Ni kweli. Ile back four ya akina manyama na wenzake haikuunganika vizuri. Mbona ile mechi ya Tunisia hakuwa hivi?Beki muda mwingine wanasababisha kipa atoke kuwahi mpira na pale asingetoka jamaa angeshoot toka mbali na kufunga.
Amejitahidi Sana Manula.
Wachezaji wetu bila uwepo wa NYAU MWEUSI Basi hawezi kituYaani ukiitazama Taifa Stars inavyocheza hapo ndipo unapoona sifa za kijinga tunazowapa wachezaji kwenye ligi yetu kuwa ni za uongo kabisa. Wachezaji hawana Skills kabsa mpira kama ndondo, pasi hazina macho, butua butua nyingi iiiii!
mipira inazaa matunda tena! ? hapa nimepotea njia wacha nirudi nilikotoka...Tatizo lingine tunapiga mipira mirefu sana isiyozaaa matunda
Hawana utulivu wala kujiamini...Yaani ukiitazama Taifa Stars inavyocheza hapo ndipo unapoona sifa za kijinga tunazowapa wachezaji kwenye ligi yetu kuwa ni za uongo kabisa. Wachezaji hawana Skills kabsa mpira kama ndondo, pasi hazina macho, butua butua nyingi iiiii!
Manula si kipa wa maana, anaicost sana Simba na Stars.....get rid of him asap!Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza na Namibia. Kosa hili amefanya zaidi ya mara tatu ni vile tumecheza na timu dhaifu vinginevyo tungefungwa kupitia uzembe huo japo ameokoa michomo mingi ya hatari. Hili litazamwe vizuri.