Aiseee!!!!!!!!

Natamani ningemuona huyu m dent. Hakika naamini, alikuwa the best in Tanzania. Kila kitu zindika banaa, chaa.
 
Mhh huyu anaamini hilo pembe laweza kumfaulisha mtihani!
 
Chombo chake cha usafiri. Sikuizi wanacharge parking hata ukiegesha getini kwako so mshkaji akaona isiwe kesi, nachoma nalo ndani
 
Duh yani hapo majibu yote ya mitihani kutoka kwa vipanga wa darasa lazima yaje yenyewe kwa dogo. Dogo lazima apate divisheni one tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…