jeshi la mtu moja
Member
- Oct 19, 2016
- 86
- 35
Putin angekuwa anaishi Dar angefaidi sana sio kwa mahaba haya...Mwanamme ni mwanaume tu!
USSR ni kiboko cha USA na ulaya kila Siku hawakohoi kwa Putin ni mwanaumwe Wa USA na ulaya !
Naamini jeshi LA MTU mmoja ni thabiti kuliko muungano!siku zote walioungana iko Sikh wakasalitiana!
Hongera Putin kuwa jeshi LA MTU mmoja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji12] [emoji12] katoka kupiga puny....
what happened...labda tuanzie hapo...Mwanamme ni mwanaume tu!
USSR ni kiboko cha USA na ulaya kila Siku hawakohoi kwa Putin ni mwanaumwe Wa USA na ulaya !
Naamini jeshi LA MTU mmoja ni thabiti kuliko muungano!siku zote walioungana iko Sikh wakasalitiana!
Hongera Putin kuwa jeshi LA MTU mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ww jamaa umetoka usingizini?
kwa maana naona habaria yako haileweki.