Aisee siamini kama nimeingia.

Aisee siamini kama nimeingia.

Roby G

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
608
Reaction score
628
nimeangaika sana kujiunga Jf hatimae leo nimefanikiwa, habari zenu wapendwa natumai mu wazima wa afya mimi ni mwenzenu naomba mnipokee.
 
Sijaelewa umehangaikaje. Hebu nipe ufafanuzi kidogo
 
nimeangaika sana kujiunga Jf hatimae leo nimefanikiwa, habari zenu wapendwa natumai mu wazima wa afya mimi ni mwenzenu naomba mnipokee.
Karibu sana ila vua viatu kwa maana umehangaika sana,viatu vyako vina vumbi usituchafulie Jamvi!

Po-mboo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom