Aisee nimeshikishwa dola feki

Mwamba alikua ameikunja😥
View attachment 3458725
Weeweeew dola


M nimenunuq tiles jana kariakoo

Bahatii naenda fuka la pemben kununua gypsumbd

Natoa hela naambia hizi bk 2 4 feki

Na ukiangalia kwa mbali wewee..ndugu nkarudi jamaa anajifanyq na yeye kaingizwa chaka niambie ushafika kwakoo unazirudishaje

Niam
 
Dollar ina sura ya snoopy 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…