Aisee! Facebook kuna vituko

Hakuna ugonjwa mbaya kama stress jaman😭😭acha tu nifungue roho yangu ya furaha mungu pekee ndo anajua hatma yangu🙏🙏huko jamuhuri ya watu wa FACEBOOK huyu jamaa juz alijiandikia rest in peace to me😢na akaandika kama kuna mtu ananidai aje kesho asubuh mweeeee kajinyonga kweli😪😪kamchoma mkewe visu vingi lakin hajafa ila yy ndo rest in peace yake imetimia jaman😢haki vitu vinavyoandikwa mitandaon viwe vinafuatiliwa na watu wa karibu wa muhusika wakat mwingine
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…