Aise!

Hahahaaa tusije natiana tuu...

Halafu tukinatiana yule dada yako atoto anaweza kuleta noma japo nilishamwambia kuwa nataka nimuibe kidogo mdogo wake!!
 
Last edited by a moderator:
Hata ule mkanda wa mapanki mkwere alikataa hivyo hivyo akidai ile sio mwanza,
 
UKAWA inawanyima watu usingizi adi october hospital zitaishiwa dawa
 
Halafu tukinatiana yule dada yako atoto anaweza kuleta noma japo nilishamwambia kuwa nataka nimuibe kidogo mdogo wake!!

Mungu wangu umemwita huyoo....
Basi umeharibu kila kitu utasutwa kwenye uzi wako mpaka ufike page mia mbili
 
Last edited by a moderator:
Mungu wangu umemwita huyoo....
Basi umeharibu kila kitu utasutwa kwenye uzi wako mpaka ufike page mia mbili

ha!haaaa!!haaaaa!! i hope amesafiri week hii,hawezi kuja hapa mwanawane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…