Ni kweli inakubali kwa optional zote mbili yaaani unatuma sms Iternet kwenda 15444 au unapiga *154*44# then unafuata maelekezo ya kununua kwa bando utapata option ya kununua 400mb kwa sh. 2500. Aidha unaweza kununua vifurushi vya 400mb mara nyingi uwezavyo ambavyo vitaaccumulate katika salio lako. mimi nimenunua za sh. 10,000 na salio linaonyesha kuwa 1 INTERNET 400MB, 2 INTERNET 400MB, 3 INTERNET 400MB, 4 INTERNET 400MB ambazo hazina limit ya muda wa kutumika.