ikigoma kuconnect intrnet ujue haijasajiliwa. Wanaosajil kwenye vibanda banda huwa wanazngua 2.
Dah mm sidhan kama line mpaka iwe activated, mbona mm nilinunua line ya airtel dukan sikuisajili na internet nikawa natumia kama kawa hata configuration setting hawakunitumia nikatengeneza zangu mwenyewe. Na sa hvi nina siku ya nne natumia internet bure sa sijui nimepewa offer au vipi
Tatisom hilo sio lako tu! Hata mi lilishawahi kunifika lakini kwa bahati nzuri nilienda kwenye ofisi zao za huduma kwa wateja wakaiactivate but the worse thing is, Haiwezi kuregister na 3G (inregister 2G only)
umejaribu ku connect kwa kutumia simu nyingine? Nadhani tatizo liko kwenye handset, maana mimi natumia line za airtel. Nikiweka kwenye nokia ya mchina sipati internet. Nikiweka kwenye samsung au nokia original inakuwa mwake...net mpaka asubuhi

Ndugu wana jf,majuzi nili-renew line yangu ya airtel iliopotea cha kushangaza haina uwezo wa ku-access internet,hata pale nilipowapigia simu na kuwaeleza tatizo langu haijasaidia kitu kwani tatizo halijatatuliwa!

Najiuliza,hivi kumbe line za airtel tofauti na za mitandao mingine ni sharti wao (airtel) waifanyie activation ya internet?

Nini maana ya huduma kwa wateja kama mteja unawasiliana nao,unaeleza tatizo lako

unaambiwa litashughulikiwa muda si mrefu lakini wamekua hawatekelezi kama wanavyoahidi?

Nimekua dissappointed sana kwa hili ikizingatiwa nina siku takribani 5 sijapatiwa utatuzi wa hitaji langu! Nashindwa kununua vifurush vya internet kama zamadi kabla sijapoteza laini yangu orijino. Kwanini wasiziache kuwa free kuaccess internet bila hata ya kuhangaila kuwaomba wakufanyie activation wao?

Wamenisikitisha sana kwa hili,

naomba kuwasilisha kwenu ili kama wahusika wanaona watalifanyia kazi. Wadau mwasemaje?

hebu ka-renew tena maana line yangu ya mwanzo ilikuwa hai-acces net ilipo potea nika-renew hii ya sasa inapiga mzigo kama kenya