ataajiri nyumba ndogo tuu!tanesco tumeshindwa.ma md wa bongo ni Dr.idris rashid na Kimei wengine bla blahivi hakuna watanzania wanaoweza kuongoza makampuni ya simu?
Kwani MD wa Airtel lazima awe kuchi kuchu tu hakuna wa nchi zingine kama sie waTz hatujui management,na hivi kuna mTZ ambae nae ni MD huko uhindini
hivi hakuna watanzania wanaoweza kuongoza makampuni ya simu?
Kaka mkata kiu naomba ututake radhi hapo kwenye Bold Red.Anzisheni kampuni yenu ndo mjiweke ma MD..
Airtel ni kampuni ya muhindi na kama ulikuwa ujui airtel ni jina la mtu.. Mmiliki wa airtel anaitwa bharti airtel...
So kampuni ya muhindi hiyo lazima awape mashavu waindi wenzake.. Subirini Aliko Dangote anakuja na Dangote Cement Tanzania limited atawapa mashavu wabongo msiogope
Anzisheni kampuni yenu ndo mjiweke ma MD..