Airtel slow

Airtel slow

cc_africa

Senior Member
Joined
May 30, 2010
Posts
121
Reaction score
2
Hali zenu wandugu. Mimi nina tatizo. Tatizo langu ni kuhusu airtel internet kila nijaribu kuunganisha bundle 400b wakati nikitumia kwenye pc speed inakuwa ndogo sana hata kama ikiwa kwenye wcdma au 3g? Naombdni msaada wandugu
 
ingia ktk website yao kuna mahali unaweza subscribe na 3.75G, unaweka number ya simu na details kadhaa.
 
jaribu kufuata haya
tools >> option >> network >> network type >> WCDMA only >> registration mode >>manual search and register >> refresh >> select celtel 3 G >> Register >> out search and register >> OK

KISHA ENDELEA, NI PM kama itagoma muhimu kuwa na subira mara nyingine huwa taratibu kusajili
 
Back
Top Bottom