SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Hujakosea mkuu mi mwenyewe ni mmojawapo wanaosumbuliwa,,but now hako kanamba kao nimekasave wakipiga tu cpokei nakata,,mchezo unakuwa over
Shida kama hiyo ilinikuta zantel ,tena wao sio namba moja ni zaidi ya tatu ,nikawaandikia email moja ndeefu yenye vitisho vinavyotekelezeka nikatolewa faster na kuombwa radhi!nilishawahi kumsikia mmbunge mmoja akiliongelea hili bungeni,lakini sidhani kama mamlaka inayohusika ishawah kuwaita,au kuwakemea wenye mitandao juu ya swala lao hili la usumbufu wanaotusababishia watumiaji wa simu,tena mtu labda mcha Mungu unamwambia achague wimbo wa ally kiba,wakat ye ni mchungaji au sheikh,waumini watamuelewaje kiongozi wao amewawekea YA MOTO.walau mngekuwa mnapiga simu kwa kumjua mtu yukoje.sio mnajipigia tu inakuwa shida
nilishawahi kumsikia mmbunge mmoja akiliongelea hili bungeni,lakini sidhani kama mamlaka inayohusika ishawah kuwaita,au kuwakemea wenye mitandao juu ya swala lao hili la usumbufu wanaotusababishia watumiaji wa simu,tena mtu labda mcha Mungu unamwambia achague wimbo wa ally kiba,wakat ye ni mchungaji au sheikh,waumini watamuelewaje kiongozi wao amewawekea YA MOTO.walau mngekuwa mnapiga simu kwa kumjua mtu yukoje.sio mnajipigia tu inakuwa shida
Hujakosea mkuu mi mwenyewe ni mmojawapo wanaosumbuliwa,,but now hako kanamba kao nimekasave wakipiga tu cpokei nakata,,mchezo unakuwa over
Wamekuongezea ajira isiyokuwa na malipo, hawa ni wapuuzi sana
Hujakosea mkuu mi mwenyewe ni mmojawapo wanaosumbuliwa,,but now hako kanamba kao nimekasave wakipiga tu cpokei nakata,,mchezo unakuwa over
Niko busy nafanya mambo yangu,mara simu ikaanza kuita,tena namba ngeni +255784105583 muda ulikuwa sa 14:14 mchana huu.
Nilikuwa naongea na mtu,nkamkatisha ili nipokee simu ngeni,maana uwez jua anayepiga yuko kwenye mazingira gani muda huo,si unajua tena si watu wenye familia.
BAada ya simu kuita kidogo nkapokea kwa shauku kujua ni nani anapiga.
Mi nasema hallow eti nakutana na tangazo la kununua wimbo wa kuweka ili wanaonipigia wasikie,wakati wanaonipigia simu mimi asilimia tisini ni watoto wa mjini na habari hizi za kusikliliza simu ya mtu inaitaje ni za huko bush.
Pia ata hao wapigajI wenyewe walivyo na mishe mishe za maisha muda huo wa kusikiliza milio wanautoa wapi
Mamlaka inayohusika na kudhibiti hii mitandao iko wapi,mbona watumiaji wa simu tunasumbuliwa hivi.
One day mtakuja fanya tushindwe kutoa msaada kwa mtu atayekuwa akiitaji msaada kwa kuhofia au kupuzia kupokea namba ngeni kwa kudhani ni nyie mnaopiga.
Tumien radio,tv,mitandao,mabango matangazo yatatufkia.Mkrudia tena kunisumbua itabidi nichukue hatua
nilishawahi kumsikia mmbunge mmoja akiliongelea hili bungeni,lakini sidhani kama mamlaka inayohusika ishawah kuwaita,au kuwakemea wenye mitandao juu ya swala lao hili la usumbufu wanaotusababishia watumiaji wa simu,tena mtu labda mcha Mungu unamwambia achague wimbo wa ally kiba,wakat ye ni mchungaji au sheikh,waumini watamuelewaje kiongozi wao amewawekea YA MOTO.walau mngekuwa mnapiga simu kwa kumjua mtu yukoje.sio mnajipigia tu inakuwa shida
na kila siku nna kazi ya kufuta sms yao ile ya tangazo la kuongezewa unit za luku eti ntaponunua umeme kupitia airtel money.Hiv kwel unaweza rudia mtumia mtu sms hiyo kila siku.Nimechoka kuzifuta,sasa nazihifadhi kama ushahidi na leo waitume tena