Acha ujinga.Huyu kalalamika humu, na nimeona na watu wa Airtel nawafahamu naweza kuwatumia ,na wakamsaidia.Sasa kosa klangu ni nini?Haya anayolalamika karibu sehemu zote zina malalmiko hata ukienda kwenye mabenki.Na wakati mwingine yanafanyika huku chini bila watu wa juu kufahamu.sasa kama kuna watu wanafanya kazi huko ,tukawaambia huoni kama inaweza saidia kutataua matatizo yanayohusiana na huduma kwa wateja?Fikiria kabla ya kukurupuka.Unaongea kama vile umetoka kufumaniwa.