Hawa jamaa ukatumia huduma zao pesa ikakwama kwenda utasota sana kurudishiwa pesa. Hivi Airtel mkoje? Nilikuwa nalipia huduma dukani laki 8 haijafika simu hampokei