Airtel Money: Dangerous network (iPhone users)

Luton4554

Member
Apr 25, 2019
67
99
Airtel Money menu haifanyi kazi. Wanalijua hilo na wanashauri utumie app.

Ukitumia app kutolea hela au kununua bundle hela zinapotea (unapata message hela imekatwa ila hamna bundle na ukitoa hela kwa wakala haupati message yeyote "wewe au wakala" ukicheki salio hela imeenda) na app ina crash.

Na watakupiga danadana hata week 3 - 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom