Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 411
Mkuu hebu nizibue masikio leo.
Una maana gani hapo kwenye red? Kwa hiyo zile 2gb(kama sikose) kwenye voda zikiisha unaendelea kupata maximum speed kama kawaida,au mimi ndo sijakuelewa?
Hujakosea kaka, mimi imebidi niicopy kabisa. Imetulia, laiti ningeiona kwa karibu....
Hako ni kale kawofa ka zain au! Kama ni kenyewe jaribu kuuliza kasalio kwa kutumia simu uone na pia hako kawindows kako kama kalikuwa na kiu kanaweza kukulambia hako ka bundle mara moja kakamaliza kwa sababu hizo net zenu huko zinaenda kasi mno sio kama hapa nilipo
UMEHAMIA??! Umebugi men!:becky:Airtel ni janga lingine la kitaifa hebu fikiria mtandao hauna namba ya customer care, unapiga 100 inakuambia wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine halafu inakatika.