Abuhunna
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 409
- 233
Habar wanaJamiiForums,
Ni mara kadhaa nimebaini kuwa Airtel wananiibia muda wangu niliojiunga kwa vifurush vya internet, mfano jana jioni nilijiunga kwa kifurushi cha 500/- na kupata mb 300, lakini sikutumia kabisa kifurushi hicho, leo nilipo amka nikaangalia salio nikakuta kuna mb 285.
Chaajabu nilipojiunga na internet nilifanikiwa ku-dowload Mozilla Firefox ambayo kwa ufahamu wangu wa IT hiyo software haizidi hata Mb 100.
Baada ya hapo nilifanikiwa kufungua gazeti la Mwananchi, internet imekata napokea SMS bundle imeisha. Hii inakuwaje kama sio wizi, unapo-comment kurudisha jibu hasi zingatia ninae lalamika hapa ninakautaalam wa IT.
Nawasilisha