jaffari yogo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 685
- 148
Kwa nini airtel inakera hivi? Ukitaka kujiunga na kifurushi uaambiwa ombi lako haliwezi kushugulikiwa kwa sasa. Yaani inakera sana sijui tatizo ni nini maana sio leo tu hata jana pia hivyo hivyo.
Kwa nini airtel
inakera hivi? Ukitaka kujiunga na kifurushi uaambiwa ombi lako haliwezi
kushugulikiwa kwa sasa. Yaani inakera sana sijui tatizo ni nini maana
sio leo tu hata jana pia hivyo hivyo.
Wanakera tena sana mimi jana nimenunua kifurushi cha wiki nzima chenye
sms, 40min airtime na 150mb sms ya kukonfirm ikaingia, cha ajabu kabla
hata sijaanza kutumia net nikaangalia salio nikakuta 0bytes.
I was so furious.