Airtel mna nini lakini? Mbona huduma zenu zipo down sana kiasi mnasababisha usumbufu mkubwa

lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,621
Points
2,000

lolypop

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,621 2,000
Airtel mna nini lakini? Mbona huduma zenu zipo down sana kiasi mnasababisha usumbufu mkubwa.

Naomba nitoe dukuduku langu na kama kuna muhusika hapa anisaidie.

Tumefanya muamala Ijumaa asubuhi saa 12 (20/12/2019) kutoa pesa Airtel kwenda Vodacom ajabu pesa imekwama hewani haijafika kwa mlengwa wa voda na huku airtel wameshakata Pesa.

Tukapiga simu wakasema pesa ipo AMBIGO tusubiri saa 72 yaani siku 3.

Tumesubiri kuanzia iIumaa mpaka leo Jumatatu pesa haijarudi wala haijaenda Vodacom.

Tukawapigia tena tukajibiwa twende shop ya airtel iliyopo karibu tumekwenda majibu tuliyopewa ni tusubiri saa 24 tena.

HII PESA NI YAKULIPA REJESHO, BANK WANANIONA MSUMBUFU SILIPI KWA WAKATI NA DENI LINAPANDA NAPIGWA FAINI ZA KUCHELEWESHA REJESHO.

Airtel rudisheni hiyo pesa na muwe wawazi kwamba tumia Airtel Money for your own risk
 
Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Messages
4,067
Points
2,000

Mlachake

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2009
4,067 2,000
Airtel mna nn lakini? Mbona huduma zenu zipo down sana kiasi mnasababisha usumbufu mkubwa.

Naomba nitoe dukuduku langu na kama kuna muhusika hapa anisaidie Tumefanya muamala ijumaa asubuhi saa 12 (20/12/2019) kutoa pesa airtel kwenda voda ajabu pesa imekwama hewani haijafika kwa mlengwa wa voda na huku airtel wameshakata Pesa. Tukapiga simu wakasema pesa ipo AMBIGO tusubiri saa 72 yaan siku 3.

Tumesubiri kuanzia ijumaa mpaka leo jumatatu pesa haijarudi wala haijaenda Voda. Tukawapigia tena tukajibiwa twende shop ya airtel iliyopo karibu tumekwenda majibu tuliyopewa ni tusubiri saa 24 tena.

HII PESA NI YAKULIPA REJESHO, BANK WANANIONA MSUMBUFU SILIPI KWA WAKATI NA DENI LINAPANDA NAPIGWA FAINI ZA KUCHELEWESHA REJESHO.

Airtel rudisheni hiyo pesa na muwe wawazi kwamba tumia Airtel money for ur own risk
Ukiwa na Tatizo Tuma E-mail au nenda kwebye social media za mitandao husika toa malalamiko yako hizo za kupiga simu customer care hawana majibu mengine zaidi ya kukwambia subiri masaa 72
 
Zesh

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
14,206
Points
2,000

Zesh

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
14,206 2,000
Hawa nyau wanakera ikifika mida ya jioni, ukimpigia mtu simu unaambiwa "network busy" tena hata ukiwapigia wenyewe Airtel unaambiwa hivyo, yaani mpaka simu ikubali kwenda basi unakuwa umetumia nguvu kubwa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,621
Points
2,000

lolypop

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,621 2,000
Ukiwa na Tatizo Tuma E-mail au nenda kwebye social media za mitandao husika toa malalamiko yako hizo za kupiga simu customer care hawana majibu mengine zaidi ya kukwambia subiri masaa 72
Mkuu embu nielekeze hawa airtel wanatumia mtandao gani, maana nimewapigia tena simu hapa wanasema masaa 48 mengine na ukiwauliza tatizo tangu ijumaa wanasema tuanze kuhesabu kwa siku ya jana. Eti aliyekuhudumia ijumaa ni mwingine na jana ni mwingine
 
lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,621
Points
2,000

lolypop

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,621 2,000
Hawa nyau wanakera ikifika mida ya jioni, ukimpigia mtu simu unaambiwa "network busy" tena hata ukiwapigia wenyewe Airtel unaambiwa hivyo, yaani mpaka simu ikubali kwenda basi unakuwa umetumia nguvu kubwa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan binafsi najuta inabidi nikope pesa sehemu nilipe bank alafu niendelee kuwafwatilia
 
JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
1,470
Points
2,000

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
1,470 2,000
Mkuu embu nielekeze hawa airtel wanatumia mtandao gani, maana nimewapigia tena simu hapa wanasema masaa 48 mengine na ukiwauliza tatizo tangu ijumaa wanasema tuanze kuhesabu kwa siku ya jana. Eti aliyekuhudumia ijumaa ni mwingine na jana ni mwingine
Huwa nashangaa hawa watoa huduma za simu hapa nchini,sasa akienda likizo utamsubiri arudi! Kwa kifupi wanachemsha.
 
Forum statistics

Threads 1,391,774
Members 528,461
Posts 34,088,563
Top