Kununua kifurushi cha wiki si maana yake lazima kiishe baada ya wiki,hii kwisha kwake itategemeana na matumizi yako.
ukiwa wa kusoma mails,magazeti na habari za kawaida utamaliza wiki,lkn kama unapita kwenye videos,unashusha vitu vizito vizito unaweza ukamaliza kifurushi cha wiki ndani ya siku moja.