Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Ina kera kwa kweli,Speed yao imeshuka sana,kwa leo haija fika hata 300KbpsHata mimi imenisumbua juzi, inajidisconnect yenyewe japo unakuwa hujacommand kitu hicho. Nadhani kuna tatizo kwani hata na sasatel leo wamekuwa wakisumbua sana
Huduma kwa wateja tena? mimi toka asubuhi najaribu kuwapigia naishia kusikiliza matangazo yao tu.Nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja lakini hakuna majibu naunganishiwa jingle za promo hadi simu inaishiwa chaji (si unajua simu za mchina tena!! japo tunapewa na betri za ziada kama magazini) inakera sana mkuu
Ina kera kwa kweli,Speed yao imeshuka sana,kwa leo haija fika hata 300Kbps
Huduma kwa wateja tena? mimi toka asubuhi najaribu kuwapigia naishia kusikiliza matangazo yao tu.
mimi ndo ilikata kabisa connection mchana mzima
hawa watu wameanza kukera. Nilidhani ni peke yangu tu.
Hata mimi mchana nilikosa connection kabisa,saizi napata speed 3.6MBps shida ni kwamba ina disconnect sana hazipiti dakika 5 inakata yenyewe, sijui shida ni nini?
Nahisi wateja wamekuwa wengi hivyo server yao inakuwa jammed
duh! kumbe tunaumia wengi? mi nilihisi labda ni hili eneo ninaloishi ndio lina matatizo.Anyway kwa wale wenye ZANTEL naona hakuna tatizo kabisa.Ni vizuri mkawa na option
sijui wanatatizo gani hawa. Yani mimi ingawa natumia internet ya simu siwez ona speed yake ila kwa kukadiria haraka haraka tu ninaona kabisa kwamba speed hii ndo ndogo mno. Na mchana mzima nilikuwa sina connection. Huduma kwa wateja hawapatikani. Jaman msaada anaejua namba nyingine ya huduma kwa wateja maana 100 siwapati
Hawa zantel wanauzaje modem zao,na gharama zake kwa ujumla zikoje,unajua hawa zain walikuwa cheap kwa hii bundle yao ya 400MB monthly.
Mkuu hiyo 100 nlishapiga sana hawapokei,kuna jamaa akanambia kuna namba nyingine ya direct but sijafanikiwa kuipata.
ingekuwa vema sana tungepata hiyo namba. Iwapo utaipata naomba uniPM mkuu
kweli kabisa, airtel ni cheap. Tena haswa kwa mtumiaji wa simu hiyo bandle inakuwa kama ni bure mwezi mzima maana mpaka mwezi unaisha bandle bdo haijaisha. Sema huduma zao zikianza kusumbua ndo hivo wateja tutakimbia
Ili tatizo limeanza toka wiki iliyopita, ina kuwa iko connected Access ya internet ndio upati, pia kwangu ilikuwa hivyo hivyo nikadhani kamodem kangu kanaelekea kufa kumbe ni tatizo la hawa jamaa.mimi ndo ilikata kabisa connection mchana mzima
Ili tatizo limeanza toka wiki iliyopita, ina kuwa iko connected Access ya internet ndio upati, pia kwangu ilikuwa hivyo hivyo nikadhani kamodem kangu kanaelekea kufa kumbe ni tatizo la hawa jamaa.