L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Apr 14, 2012 #1 Wadau mnaotumia airtel, hebu niambieni kuhusu spidi ya huu mtandao kwenye neti, maana mimi niliukimbia nikaenda voda ila naona voda wameanza kuwa kimeo. Leo nimeweka laini ya airtel na naona ina spidi ya kutisha. Je, huwa ni hivi siku zote?
Wadau mnaotumia airtel, hebu niambieni kuhusu spidi ya huu mtandao kwenye neti, maana mimi niliukimbia nikaenda voda ila naona voda wameanza kuwa kimeo. Leo nimeweka laini ya airtel na naona ina spidi ya kutisha. Je, huwa ni hivi siku zote?
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 926 Reaction score 638 Apr 14, 2012 #2 Hamia airtel