haa kaka ni rahisi pamoja na ukihiyo wangu kwenye IT ,nami nilikwazwa kwanza nilikuwa natumia vodacom nikaenda pale kwenye duka lao Mlimani City yule kijana wa data akanifungulia ,ingawa hakuniambia jinsi ya alivyofungua,nikataka nitumie Airtel nikasogea pale kwenye duka lao la aitel jamaa pale hakuna mtaalamu wa mambo ya data akajishaua tu ikashindikanika,niliporudi nyumbani nikaamua kutumia ukihiyo wangu,naam ikafunguka nenda kwanza kwenye kitufe cha setting,halafuwireless & networks,then highlight Wi-Fi,hapo kwenye WI-Fi uki click utaona kisanduku andika airtel na utaona sehemu imeandikwa open save tayari kwa kutumia kwa kifupi Wi-Fi iwe wazi
Nimepata solution: hakuna haja ya kuactivate Wi-Fi; unaenda Settings > Wireless & networks > Mobile networks and APN > Access point names > Menu > New APN > weka jina airtel na APN airtel basi unanunua bundle unasonga.