Hata hawa zantel naona wametuchoka wateja..hivi wanatumia akili gani kukusubirisha kwa dk 15 na wasipokee? Tena kuna majitu hayajitambui customer care..una muuliza swali liko straight ila anashindwa kujibu anajing'ata tu na kujibu irrelevants....[emoji35]