Habari zenu wakuu.
Hivi Airtel Tanzania kile kitengo cha Huduma kwa Wateja huwa kuna watu wanaohudumia kweli au mmeamua kutusumbua na shilingi 60 zetu kutuchukulia. Inashangaza kuona mnachaji hela kwaajili ya kuhudumiwa kwenye kitengo cha msaada lkn badala yake mnaishia kutuwekea nyimbo na simu inakaa mpk dakika 15 bila kupokelewa mpk unaamua kukata.
Kwanini hambadiliki na mambo yenu ya kizamani badala ya kuangalia muundo nadhifu wa kuwahudumia watu na kutoa huduma zenye tija.
Tatizo lililonifanya nipige simu Huduma kwa wateja ni kupokea sms ya aina moja kila mda, ukimuuliza mtumaji sms umetuma mara ngapi anasema mara moja lkn cha ajabu kila baada ya dakika 5 unapokea sms ya aina ile ile.
Airtel naomba mshuulikie tatizo langu ipasavyo nimechoka kero ya kupokea sms moja kila mda.
Namba yangu ya simu ni 0684 908097
siyo airtel tu wote ni ndugu moja
ijumaa ya tarehe tatu nilituma hela kwa mtu wa mtandao tofauti yule jamaa hakupata hela na mimi nikakatwa hela nawapigia nimekuja kuwapata zaidi ya lisaa limoja hivi akapokea kaka mmoja nikamwambia kaka leo mbona mmetutesa muda wote huu kama nimetuma hela kimakosa huyo mtu si atakuwa ameshaitoa? basi yule kaka akaja juu utafikiri ametiwa kidole cha macho hakunisaidia lolote zaidi ya kuniharibia siku yangu kama kuna watu wanafuatilia ilikuwa mida ya saa nane mchana namba niliyotumia ni 0787478449 nitashukuru nikipata mrejesho kwani nadhani yale majibishano huwa yanarekodiwa
Wanatia aibu