Hivi airtel leo wanafanya makusudi au? Maana nimehamisha hela kutoka airtel kwenda bank tangia asubuhi saa moja ila hadi sasa hela haijafika destination. Napiga simu huduma kwa wateja tangia hiyo saa moja naambulia kusikilizishwa matangazo sababu eti wanapokea simu nyingi..... Tangia saa moja hadi sasa saa saba kasoro kweli? Airtel mmenilostisha sana leo.

Unawapigia kwa namba gani mzee? Maana mie nimewapigia kwa 100 tangu wiki ilopita naambulia kusikiliza matangazo ya huduma tu lakini option ya kuongea na mtoa huduma haipo