mkuu nakuunga mkono 100% halotel GBs zao zinaisha aste aste sana kasi ya kuisha ya konokono safi kabisaa sio mtandao ka voda sina hamu nao kabisaaaaaaaa unalamba GB ka covid19 inavyolamba maisha ya watu

Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli.
Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje kwenu naenda kuwatoa.