kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 139
- 243
Bora voda tuKama pesa yako haina kazi kaitoa zakah.
Hayo madude ni ya ovyo kupita maelezo.
Mbona router ya Airtel mimi naitumia na iko vizuri tu mkuuKama pesa yako haina kazi kaitoa zakah.
Hayo madude ni ya ovyo kupita maelezo.
shukrani mkuu.110,000/= unapewa router ikiwa na kifurushi cha mwezi 30mbps
Mieizi inayofuatia ndo utalipia kifurushi unachokimudu vipo vya bei tofuauti na speed tofauti
+255 693 492 242 Emmanuelshukrani mkuu.
unaweza kuwa na namba za wakala wao uniunganishe nao?
nipo Dar Ubungo
Mimi alinisajilia huyu +255 680 184 979 alileta mpaka homeshukrani mkuu.
unaweza kuwa na namba za wakala wao uniunganishe nao?
nipo Dar Ubungo
shukrani mkuuMimi alinisajilia huyu +255 680 184 979 alileta mpaka home
Nu kwako tu, wengine tunaitumia vzr tu.110 laki unanunua kifurushi ile device ni bure
Airtel wanasumbua mno kwenye mtandao bora ununue voda
10mbps kifurushi hiki ndio unalipia 70 elfu kwa mwezi