The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,804
1,000 tu mkuu.
Natumia laini ya Airtel. Wana vifurushi favourable ila 4G yao ni disaster. Iko very very slow.
Juzi hapa nilijaribu 4G ya Halotel iko safi ni kama ya Vodacom. Sijawahi kujaribu ya Tigo ila hii ya Airtel ni majanga.
Kweli vitu vya bure ni gharama sana.

Upo pande zipi?Nipo Singida siipati
Dar, moro pwani inapatikana sijajua huko kwingine.Halotel wana 4g mikoa gani
Basi kwangu 4g inaenda mwendo wa kobe. Ni kama vile nina 3g tu.Mbona Mimi natumia ya 3G yao na bado natiririka na naserereka nayo vizuri tu tena bila tatizo lolote halafu iko ' faster ' hadi raha?
Natumia laini ya Airtel. Wana vifurushi favourable ila 4G yao ni disaster. Iko very very slow.
Juzi hapa nilijaribu 4G ya Halotel iko safi ni kama ya Vodacom. Sijawahi kujaribu ya Tigo ila hii ya Airtel ni majanga.
Kweli vitu vya bure ni gharama sana.
Dar zinapatikana.Upo pande zipi?Nipo Singida siipati
Mkuu toka July tunatumia 4g ya airtel, wewe uko wapi?Airtel hawana 4G Mkuu bado wana 3G nayo pia nitiamajitiamaji
Mkuu toka July tunatumia 4g ya airtel, wewe uko wapi?