Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

Aisee! wamejitahidi sana,kwa watu wanaosafiri sana wanaijua hii ndege huwa tunaenda kuipandia Beijing...huku huwa tunaambiwa uwanja mdogo leo imetua!
Uwanja ni mdogo kweli pia hakuna facilities za kuwezesha kushusha abiria kwa wakati mmoja bridge ni moja hakuna inayoweza fika katika decker ya kwanza...
 
Bashite lazima aende hapo aingie ndani kuwapa pole!! Ila sijui atazungumza lugha gani sasa maana alikimbia umande kama demi
 
Kuna sehemu Magufuli anapewa credits au ni Sacarsm ?
 
kwa kutembelewa na hili babu lake bombadya kwa kweli watz tutembee vifua mbele tupo ktk laiti tlaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…