Air Tanzania ni uozo

Air Tanzania ni uozo

nskahisha

Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Wana jf wenzangu,

Hii kampuni ni uozo tumepata shida since Jumapili tumefika airport tukaambiwa ndege imeharibika Tabora mpaka Jumatatu abiria tukapelekwa K/koo kwenye kihotel bahati mbaya nilikuwa nawahi mazishi Kigoma ikabidi kupanda bus.

Taarifa kutoka kwa abiria wamepelekwa hadi airport wakaambiwa ndege hamna inabidi warudishiwe hela zao baada ya kuwaweka muda wote huo, leo nimemaliza msiba niko Kigoma stranded hakuna ndege pia kibaya zaidi jana nimepiga simu mara 4 wakanihakikishia kuwa ndege leo ipo nikarelax.

Kilichonikera zaidi nimefika ofisini kwao huku jibu ni moja ndege itakuwepo LABDA jioni ila hakuna uhakika na hela wamenirudishia.

Sijielewi nianze vipi na ninatakiwa kuwa kazini kesho this is so unprofessional i wont ever have trust in our rotten air service company called air Tanzania, watu tuko wengi hapa hatuna cha kufanya:thumbdown:😡:what:
 
Mwakyembe si mlimsifia? Kiko wapi sasa, CCM majanga tu
 
Wana jf wenzangu hii kampuni ni uozo tumepata shida since jpili tumefika airport tukaambiwa ndege imeharibika tabora mpaka j.3 abiria tukapelekwa kkoo kwenye kihotel bahati mbaya nlikuwa nawahi mazishi kigoma ikabidi kupanda bus taarifa kutoka kwa abiria wamepelekwa hadi airport wakaambiwa ndege hamna inabidi warudishiwe hela zao baada ya kuwaweka muda wote huo, leo nimemaliza msiba niko kigoma stranded hakuna ndege pia kibaya zaidi jana nimepiga simu mara 4 wakani asure kuwa ndege leo ipo nikarelax kilichonikera zaidi nimefika ofisini kwao huku jibu ni moja ndege itakuwepo LABDA jion ila hakuna uhakika na hela wamenirudishia sijielewi nianze vipi na ninatakiwa kuwa kazini kesho this is so unprofessional i wont ever have trust in our rotten air service company called air tanzania watu tuko wengi hapa hatuna cha kufanya:thumbdown:😡:what:
Pole sana mkuu haya maumivu tulishayazoea,kila sector in TZ
 
Huyu mwakyembe ni walewale kasoro dk, kelele nyingi, papara, attention seeker ! Utendaji sifuri, zero kabisa. inashangaza sana sana nchi hii national carrier kuwa kituko na mzaha kiasi hiki and they all happy...mipasho tu kudharau wanahoji, haya majitu yamesoma wapi!!!???? Soko la ndani tu linatosha kuendesha Air Tanzania kabla hata hujarusha ndege kwenda Kenda , SA...Tunazidiwa na nchi kama Rwanda wana ndege karibu 15 sasa! What is wrong with you people , Mmelaaniwa na laana inawatafutana!!!!
 
Wana jf wenzangu hii kampuni ni uozo tumepata shida since jpili tumefika airport tukaambiwa ndege imeharibika tabora mpaka j.3 abiria tukapelekwa kkoo kwenye kihotel bahati mbaya nlikuwa nawahi mazishi kigoma ikabidi kupanda bus taarifa kutoka kwa abiria wamepelekwa hadi airport wakaambiwa ndege hamna inabidi warudishiwe hela zao baada ya kuwaweka muda wote huo, leo nimemaliza msiba niko kigoma stranded hakuna ndege pia kibaya zaidi jana nimepiga simu mara 4 wakani asure kuwa ndege leo ipo nikarelax kilichonikera zaidi nimefika ofisini kwao huku jibu ni moja ndege itakuwepo LABDA jion ila hakuna uhakika na hela wamenirudishia sijielewi nianze vipi na ninatakiwa kuwa kazini kesho this is so unprofessional i wont ever have trust in our rotten air service company called air tanzania watu tuko wengi hapa hatuna cha kufanya:thumbdown:😡:what:

Airlines zote za TZ public na private sio reliable hata kidogo, just last week nimeshuhudia cancellation ya aina yake kutoka fastjet. Kwanza hawatoi taarifa kwa wateja hakuna ndege abiria wanafika apt ndio wanajua hakuna ndege. Na bila haya wakaamua kuwabook abiria wote wa previous day kwenye ndege moja, watu wamepanga mstari kucheck in wanaambiwa ndege imejaa, imagine that. Wanatakiwa wasubiri ndege ya midnight kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 6 usiku wakiketi tu kusubiri ndege. Afadhali hata ATC wana accommodate, fastjet policy you only get TZS 8000 ya refreshments! What is hsppening to these airlines in Tanzania.
 
Yaani hawa jamaa ni hovyo kabisa juzi wamemtesa sana baba yangu kaamka usikuwa kuwahi airport saa kumina mbili asbh matokeo yake wanamrusha nyumba saa kumi na moja jioni eti ndege imekuwa cancelled.
hivi mnavyowakatia watu tiket ili hali hamjui kama kuna ndege mnamaana gani. ? ukweli mnaboa sana,:cool2:
 
Wezi tu walifilisi ATCL kisa precision leo hii precision yenyewe majanga sasa sijui wanataka kutuletea ipi?
 
Halaf mna mnamlaumu shirima mitanzania bana. Malabuhu nyinyi.
 
Back
Top Bottom