wakuu,
Ni jana tu kama sikosei ndipo tulishuhudia waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh. Kassim Majaliwa akizindua safari mpya (route) ya bombadier ya Dar-Dodoma. Baada ya taarifa ile watu wanafungua tovuti yao ili kununua tiketi za route hiyo wanachokikuta ndio huwezi kuamini...ndege inakuja dodoma mara moja tu kwa wiki yaani siku za ijumaa pekee! hivi hata kama kipindi cha ujima, mtu unaweza kusubiri safari kwa wiki nzima kweli?
Kama bado hawajawa tayari kwa nini walijitangaza? Hii safari ya siku moja kwa wiki inamlenga nani hasa?
Binafsi sijapenda, wangesubiri kwanza wajipate angalau siku 3-4 kwa wiki tungeona wapo serious.
Ni hayo tu.