Rebel volcano
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 403
- 86
umesomeka hivi swala la usafi,na kuboresha mazingira ya air port,wahusika ni t.r.a ama??!!Labda ni kukosa uelewa, lakini jomba unpoongelea suala la Kiwanja unaongelea dhana pana mno. KIwanja kina watu Airline operators, Meteorological agency, Civil Aviation, Business community, Airport Authority nk. Sasa unapolaumu kiwanja kwa ujumla hueleweki na unaonyesha upungufu wa uelewa. Kwa nilivyokuelewa mm, unaongelea masuala ya TRA na ushuru, ambapo si ishu ya Kiwanja as whole, bali idara moja tu.
Tujifunze kuwa specific kwenye hoja.
hilo swali hata ukimuuliza mfanyakazi wa t.r.a aliopo air port kwa kukusanya mapato hakupi jawabu ukamuelewa!hivi wadau kwa zawad ndogondogo kama za electronics ziwe aina moja kama camera,simu au ipod Wawaletea watu tofauti kitu aina moja idadi mwisho kiasi gani unaweza pita nazo bila kulipia ushuru
Labda ni kukosa uelewa, lakini jomba unpoongelea suala la Kiwanja unaongelea dhana pana mno. KIwanja kina watu Airline operators, Meteorological agency, Civil Aviation, Business community, Airport Authority nk. Sasa unapolaumu kiwanja kwa ujumla hueleweki na unaonyesha upungufu wa uelewa. Kwa nilivyokuelewa mm, unaongelea masuala ya TRA na ushuru, ambapo si ishu ya Kiwanja as whole, bali idara moja tu.
Tujifunze kuwa specific kwenye hoja.