Wadau habarini za hasubui, kwa aliyeko Dar natafuta Compressor machine ( kwa ajili ya drilling). Sema kwasababu ya Mtaji mdogo sitoweza kwenda kununua za Madukani kwahiyo naomba anayeweza pata iliyotumika lakini iko kwenye hali nzuri basi tuwasiliane chap chap.
Sent using
Jamii Forums mobile app