Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,633 Reaction score 112,450 Dec 22, 2024 #1 Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
hamis77 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 18,684 Reaction score 27,610 Dec 22, 2024 #2 Nimekuchek pm
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,633 Reaction score 112,450 Dec 22, 2024 Thread starter #3 hamis77 said: Nimekuchek pm Click to expand... Sawa mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,129 Reaction score 195,883 Dec 22, 2024 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw