Aina za utajiri wa haraka

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,202
Reaction score
3,974
● Utajiri wa kutoa kafara ya damu mfano kutoa wazazi, mtoto ,ndugu au mke wako
● Utajiri wa punje , huu ni utajiri ambao unaupata baada ya kuku kula punje kama akila punje moja na nusu basi utajiri wako utakuwa wa mwaka mmoja na nusu na km asipokula ndo ishaisha iyo
● Utajiri wa kibegi mtu anakuwa anatembea na kinyoka kidogo kwenye begi kadri nyoka anavozidi kukua ndivyo na utajiri unazidi kuongezeka , hicho kibegi unakuwa unatembea nacho mgongoni kila unapopita ukifika nyumbani fungua mkoba unakuta manoti yamejaaa , kwaio usione watu kila siku yeye na kibegi awe popote pale haachi kibegi .
● Utajiri wa majini huu sina experience ila upo
● Utajiri wa kumfanya mwanao msukule huu upo sana kanda ya ziwa huko simanisha hapa dsm haupo upo katika unakuta mtoto mmoja wao ni kama zezeta fulani hivi
NB: sio kila mtu anaweza kupata mali za haraka fanya kazi
 
Utajiri wangu wa kuuza viungo vya binaadamu mbona haupo hapa🤣🤣
 
● Utajiri wa kutoa kafara ya damu mfano kutoa wazazi, mtoto ,ndugu au mke wako
NB: sio kila mtu anaweza kupata mali za haraka fanya kazi
Kidini umasikini laana!, tuukatae umasikini kama tunavyomkataa shetani!, kemea pepo la umasikini kama unavyokemea ushetani mwingine wowote na usijinenee umasikini!, badili kauli kwa kujinenea utajiri, nimeendesha sana masomo ya kitu kinachoitwa manifestation humu.
Hivyo kwanza karibu katika bandiko hili ambalo mimi naliita bandiko kiongozi
Baada ya kujitambua na kujikubali wewe unazo powers, then jifunze kutumia powers hizo kwanza kwa kujilinda na kuboresha afya yako kwa kuzuia maradhi yoyote,
Kwasababu dunia ya sasa, hii tuliomo, pesa ndio kila kitu, then tafuta pesa!, ni kupitia kutafuta pesa ndipo utauaga umasikini, hivyo karibu mitaa hii ili ujifunze kutumia powers of manifestation.
Pia unaweza kujisomea makala zangu nyingine mbalimbali kuhusu umasikini na utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…